Waelezeni watu yale wanayoyafahamu, Hivi mnataka akadhibishwe (apingwe) Mwenyezi Mungu na …

Islam > Sw > Hadith > Daawa na kujitolea kuamrisha mema na kukataza mabaya > Waelezeni watu yale wanayoyafahamu, Hivi mnataka akadhibishwe (apingwe) Mwenyezi Mungu na …

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Waelezeni watu yale wanayoyafahamu, Hivi mnataka akadhi…

عن علي بن أبي طالب رضي الله عنه قال: "حدثوا الناس بما يعرفون، أتريدون أن يُكذَّب اللهُ ورسولهُ؟".

Maelezo ya hadith: Waelezeni watu yale wanayoyafahamu, Hivi mnataka akadhi…

Anaelekeza Kiongozi wa waumini Ally bin Abii Twalib -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- kuwa haitakiwa watu wote kuelezwa isipokuwa yale mambo ambayo ni maarufu tena yenye kuwanufaisha watu katika msingi wa dini yake na hukumu yake miongoni mwa tauhidi na kuwabainishia watu halali na haramu, na kuacha yenye kupoteza lengo hilo; katika yale yasiyokuwa na haja ndani yake, au yakawa ni katika mambo ambayo ni sababu ya kupingwa ukweli na kutokubalika kwake katika yale ambayo wanatatizika kuyafahamu, na inakuwa kwao vigumu kuyajua.

Makundi : Kulingania na kuelekeza kwa Mungu. · Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya

بسم الله الرحمن الرحيم mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
أحدب متناقص Gibbeuse Décroissante Jour 16.7 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
لا إله إلا الله Pas de divinité sauf Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56