Muislamu wa kweli ni yule wanayepata Amani waislamu wenzake kutokana na ulimi wake na mkon…

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ya tabia > Muislamu wa kweli ni yule wanayepata Amani waislamu wenzake kutokana na ulimi wake na mkon…

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Muislamu wa kweli ni yule wanayepata Amani waislamu wen…

Maelezo ya hadith: Muislamu wa kweli ni yule wanayepata Amani waislamu wen…

Ameeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa muislamu mwenye Uislamu kamili ni yule waliosalimika waislamu kutokana na ulimi wake, hawatukani, na wala hawalaani, wala hawasengenyi, na wala hawazunguki kwa aina yoyote miongoni mwa aina za maudhi kwa ulimi wake, na wamesalimika kutokana na mkono wake, hawatendei ubaya, na wala hachukui mali zao pasina haki, na mfano wa hayo, na mwenye kuhama, ni yule mwenye kuacha yale aliyoyaharamisha Mwenyezi Mungu Mtukufu.

Mafunzo: Muislamu wa kweli ni yule wanayepata Amani waislamu wen…

Makundi : Fiq'hi ya Tabia. · Adabu za kisheria. · Tabia njema. · Adabu za mazungumzo na kunyamaza. · Akida- Itikadi- · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Majina na Hukumu. · Kuzidi kwa Imani na Kupungua kwake.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
اللهم صل على محمد Ô Allah prie sur Muhammad

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56