Hakika mmoja wenu anapokufa huonyeshwa makao yake asubuhi na jioni

Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Hakika mmoja wenu anapokufa huonyeshwa makao yake asubuhi na jioni

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hakika mmoja wenu anapokufa huonyeshwa makao yake asubu…

Maelezo ya hadith: Hakika mmoja wenu anapokufa huonyeshwa makao yake asubu…

Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya kwamba mja anapokufa huonyeshwa mbele yake makao yake na sehemu yake maalumu peponi au motoni, mwanzo wa mchana na mwisho wake; mahali pake peponi, na sehemu yake motoni akiwa ni miongoni mwa watu wa motoni, na huambiwa: Haya ndiyo makao yako utakayofufuliwa kwayo siku ya Kiyama; na katika hilo kuna kuneemeka kwa muumini, na kuadhibiwa kwa kafiri.

Mafunzo: Hakika mmoja wenu anapokufa huonyeshwa makao yake asubu…

Makundi : Akida- Itikadi- · Kuamini siku ya mwisho · Maisha ya Barzakhi (Baada ya kufa)

بسم الله الرحمن الرحيم mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
أحدب متناقص Gibbeuse Décroissante Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
لا إله إلا الله Pas de divinité sauf Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56