Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Anapo kufa mwanadamu matendo yake hukatika isipokuwa mambo matatu: Sadaka yenye kuendelea,…
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureAmeeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa amali za maiti hukatika kwa kufa kwake, hayapatikani mema tena baada ya kifo chake isipokuwa kwa mambo haya matatu; kwa sababu yeye ndiye aliyekuwa sababu ya kupatikana kwake:
La kwanza: Sadaka yenye kuendelea thawabu zake na kudumu, isiyokatika, kama wakfu, na kujenga msikiti, na kuchimba visima, na mengineyo.
La pili: Elimu wanayonufaika nayo watu, kama kutunga vitabu vya kielimu, au kama kumfundisha mtu, yule naye akaisambaza elimu hiyo baada ya kifo chake.
La tatu: Mtoto mwema muumini wa kumuombea dua mzazi wake.
Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Fiq'hi - Ufahamu- wa miamala. · Majeneza. · Wakfu. · Mambo yaliyo bora. · Ubora wa Elimu. · Fadhila za Dua. · Fiq'hi na misingi yake. · Doing Good Deeds on behalf of the Deceased and Gifting them the Reward · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Merit and Significance of Knowledge