Islam > Sw > Hadith > Mambo yaliyo bora > Ameangukia pua (kapata hasara), kisha Ameangukia pua (kapata hasara), kisha Ameangukia pua…
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureMtume rehema na amani ziwe juu yake aliomba dua ya udhalili na fedheha mpaka akahisi kana kwamba mtu ametia pua yake kwenye mchanga – akarudia mara tatu – akaulizwa: Ni nani huyo ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, uliyemuombea dua mbaya?
Akasema rehema na amani ziwe juu yake: Atakayewakuta wazazi wake wawili, mmoja wao au wote wawili, wakati wa utuuzima, wakawa si sababu ya yeye kuingia Peponi; na hii ni kutokana na kukosa kuwatendea wema na kutowatii.
Makundi : Mambo yaliyo bora. · Ubora wa Kuwatendea Wema wazazi wawili: · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.