Amsalimie aliyepanda anayetembea, na anayetembea aliyekaa, na wachache kwa wengi

Islam > Sw > Hadith > Adabu za kisheria > Amsalimie aliyepanda anayetembea, na anayetembea aliyekaa, na wachache kwa wengi

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Amsalimie aliyepanda anayetembea, na anayetembea aliyek…

Maelezo ya hadith: Amsalimie aliyepanda anayetembea, na anayetembea aliyek…

Ameelekeza Mtume rehema na amani ziwe juu yake katika adabu za kutoleana salamu kati ya waislamu "Assalaam alaikum warahmatullaahi wabarakaatuh". Mdogo amsalimie mkubwa, na aliyepanda amsalimie anayetembea kwa miguu, na anayetembea kwa mguu amsalimie aliyekaa, na idadi ndogo wawasalimie idadi kubwa.

Mafunzo: Amsalimie aliyepanda anayetembea, na anayetembea aliyek…

Makundi : Adabu za kisheria. · Adabu za kutoa salamu na kubisha Hodi. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله Gloire à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56