Hamtazami Mwenyezi Mungu mwenye kuburuza nguo yake kwa kiburi

Islam > Sw > Hadith > Adabu za kisheria > Hamtazami Mwenyezi Mungu mwenye kuburuza nguo yake kwa kiburi

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hamtazami Mwenyezi Mungu mwenye kuburuza nguo yake kwa…

Maelezo ya hadith: Hamtazami Mwenyezi Mungu mwenye kuburuza nguo yake kwa…

Ametahadharisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuburuza nguo au kikoi chini ya kongo mbili kwa kiburi na kujiona, nakuwa mwenye kufanya hivyo atastahiki ahadi ya adhabu kali yakuwa Mwenyezi Mungu hatomtazama siku ya Kiyama mtazamo wa huruma.

Mafunzo: Hamtazami Mwenyezi Mungu mwenye kuburuza nguo yake kwa…

Makundi : Adabu za kisheria. · Adabu za kuvaa. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله Gloire à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56