Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ya tabia > Hakuna kitu chenye uzito zaidi katika mizani ya muumini siku ya Kiyama kuliko tabia njema,…
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureAmeeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa chenye uzito zaidi katika mizani ya muumini siku ya Kiyama katika kauli na matendo ni tabia njema, na hii ni kwakuwa na uso mkunjufu, na kujizuia na maudhi, na kutenda wema. Na Mwenyezi Mungu Mtukufu anamchukia mtu muovu katika kauli zake na vitendo, mwenye mdomo mchafu katika yale yanayotamkwa na ulimi wake.
Makundi : Fiq'hi ya Tabia. · Adabu za kisheria. · Tabia njema. · Adabu za mazungumzo na kunyamaza. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.