Atakayekula chakula, akasema: Kila sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu aliyenilisha cha…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi elimu ya dua na dhikri mbali mbali > Atakayekula chakula, akasema: Kila sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu aliyenilisha cha…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad
Ni nzuri (Hasan)
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakayekula chakula, akasema: Kila sifa njema zinamstah…
Maelezo ya hadith: Atakayekula chakula, akasema: Kila sifa njema zinamstah…
Anamhimiza Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwenye kula chakula amshukuru Mwenyezi Mungu, kuwa mimi sina uwezo wa kuleta chakula wala kukila isipokuwa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu na msaada wake, Kisha akatoa habari njema rehema na amani ziwe juu yake kwa yeyote atakayesema hivyo kuwa anastahili msamaha wa Mwenyezi Mungu kwa dhambi zake ndogo ndogo zilizopita.
Mafunzo: Atakayekula chakula, akasema: Kila sifa njema zinamstah…
- Inapendeza kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu mwisho wa chakula.
- Kuna ubainifu wa fadhila kubwa ya Mwenyezi Mungu Mtukufu juu ya waja wake, kwa kuwa amewaruzuku na kuwasahilishia riziki, na akalifanya hilo kuwa ni kafara ya kusamehewa madhambi.
- Mambo ya waja yote yanatoka kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu, na si kwa uwezo wao au nguvu zao, na mja ameamrishwa kufanya sababu.
Makundi :
Fiq'hi -Elimu- ya Dua na Dhikri mbali mbali.
· Adh-kaar za mambo ya Dharura.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
أستغفر الله
Je demande pardon à Allah