Dua hairejeshwi (inayoombwa) baina ya adhana na kukimiwa swala
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi elimu ya dua na dhikri mbali mbali > Dua hairejeshwi (inayoombwa) baina ya adhana na kukimiwa swala
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abuu Daud, Tirmidhiy na Nasaai
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Dua hairejeshwi (inayoombwa) baina ya adhana na kukimiw…
Maelezo ya hadith: Dua hairejeshwi (inayoombwa) baina ya adhana na kukimiw…
Amebainisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake fadhila za dua baina ya adhana na ikama, nakuwa dua hiyo hairejeshwi na inanafasi kubwa ya kujibiwa, basi muombeni Mwenyezi Mungu ndani ya wakati huu.
Mafunzo: Dua hairejeshwi (inayoombwa) baina ya adhana na kukimiw…
- Fadhila za wakati huu kwa ajili kuomba dua.
- Atakapojipamba muombaji kwa adabu za kuomba dua, na akatafuta mahala pake na nyakati zake bora, na akajiepusha na kumuasi Mwenyezi Mungu, na akachukua tahahadhari ya kutotumbukia katika mambo yasiyofaa na yenye kutatiza, na akamdhania vizuri Mwenyezi Mungu: Basi ni rahisi sana kujibiwa, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu.
- Amesema Al-Munawi kuhusu kujibiwa dua: Yaani: Baada ya kukusanya sharti za dua na nguzo zake na adabu zake, ikiwa kitapelea kitu chochote basi asilaumu ila nafsi yake.
- Ni sunna kuomba dua: Ima zijibiwe haraka dua zake, au aepushiwe katika shari mfano wake, au atunziwe Akhera; na hii ni kulingana na hekima ya Mwenyezi Mungu na huruma yake.
Makundi :
Fiq'hi -Elimu- ya Dua na Dhikri mbali mbali.
· Sababu za Kujibiwa Dua.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
حسبنا الله ونعم الوكيل
Allah nous suffit, quel excellent protecteur