Atakayeitetea heshima ya ndugu yake basi Mwenyezi Mungu ataukinga uso wake na moto siku ya…
Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Atakayeitetea heshima ya ndugu yake basi Mwenyezi Mungu ataukinga uso wake na moto siku ya…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakayeitetea heshima ya ndugu yake basi Mwenyezi Mungu…
عن أبي الدرداء رضي الله عنه عن النبي صلى الله عليه وسلم قال: «مَنْ رَدَّ عَنْ عِرْضِ أَخِيهِ رَدَّ اللهُ عَنْ وَجْهِهِ النَّارَ يَوْمَ الْقِيَامَةِ».
Maelezo ya hadith: Atakayeitetea heshima ya ndugu yake basi Mwenyezi Mungu…
Anaeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa atakayeitetea heshima ya ndugu yake muislamu akiwa hayupo (katika mazungumzo) kwa kukataza watu kumsema vibaya na kumkosea adabu, basi naye Mwenyezi Mungu ataizuia adhabu kwake siku ya Kiyama.
Mafunzo: Atakayeitetea heshima ya ndugu yake basi Mwenyezi Mungu…
- Katazo la kuzungumza kuhusu heshima za waislamu.
- Malipo huendana na matendo, atakayeirudisha heshima ya ndugu yake Mwenyezi Mungu naye atauzuia moto kwake.
- Uislamu ni dini ya udugu na kuteteana kati ya waislamu.
Makundi :
Fiq'hi ya Tabia.
· Tabia njema.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
أستغفر الله
Je demande pardon à Allah