Mlisheni mwenye njaa, na mtembeleeni mgonjwa, na mwacheni huru mateka
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ya tabia > Mlisheni mwenye njaa, na mtembeleeni mgonjwa, na mwacheni huru mateka
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Mlisheni mwenye njaa, na mtembeleeni mgonjwa, na mwache…
Maelezo ya hadith: Mlisheni mwenye njaa, na mtembeleeni mgonjwa, na mwache…
Amebainisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa katika haki za Muislamu kwa ndugu yake Muislamu ni kumlisha mwenye njaa na kumtembelea mgonjwa, na kumuacha huru mateka.
Mafunzo: Mlisheni mwenye njaa, na mtembeleeni mgonjwa, na mwache…
- Himizo la Waislamu kusaidizana.
- Himizo la kumlisha chakula mwenye njaa na uhitaji, huyu imeamrishwa kumlisha.
- Sheria ya kumtembelea mgonjwa; ili kumpa faraja, na kumuombea dua na kupata malipo, na mengineyo.
- Kufanya pupa kumwacha huru mateka aliyetekwa na makafiri, na hiyo ima kwa kulipa gharama inayohitajika ili kumuondoa mikononi mwao, au kwa kubadilisha nao na mateka wa kikafiri, yaani: Kwa njia ya kubadilishana.
Makundi :
Fiq'hi ya Tabia.
· Tabia njema.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
لا إله إلا الله
Pas de divinité sauf Allah