Muumini si msemaji watu vibaya wala mtoaji wa laana wala muovu wala mwenye kauli chafu
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ya tabia > Muumini si msemaji watu vibaya wala mtoaji wa laana wala muovu wala mwenye kauli chafu
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Tirmidhiy
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Muumini si msemaji watu vibaya wala mtoaji wa laana wal…
Maelezo ya hadith: Muumini si msemaji watu vibaya wala mtoaji wa laana wal…
Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa si katika mambo ya muumini mwenye imani kamili kuwa mtoa aibu za watu katika nasaba zao, wala mwingi wa matusi na laana, wala muovu wa vitendo na kauli ambaye hana haya.
Mafunzo: Muumini si msemaji watu vibaya wala mtoaji wa laana wal…
- Kukanushwa imani katika dalili za kisheria hakuwi isipokuwa kwa kutenda kitendo cha haram au kuacha wajibu.
- Himizo la kuhifadhi viungo na kuvilinda na mabaya, hasa hasa ulimi.
- Amesema As-Sanadi: Na katika tamko la kusisitiza katika kauli yake (Mwingi kutukana, na mwingi wa kutoa laana) Ni dalili kuwa kutoa matusi na laana mara chache si vibaya kwa mtu atakayestahiki hilo, na wala haidhuru mtu kusifika kwa sifa za waumini.
Makundi :
Fiq'hi ya Tabia.
· Adabu za kisheria.
· Tabia njema.
· Adabu za mazungumzo na kunyamaza.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
لا حول ولا قوة إلا بالله
Pas de force ni de puissance sauf en Allah