Dua ya mtu muislamu kwa ndugu yake, anapokuwa hayupo, hujibiwa

Islam > Sw > Hadith > Mambo yaliyo bora > Dua ya mtu muislamu kwa ndugu yake, anapokuwa hayupo, hujibiwa

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Dua ya mtu muislamu kwa ndugu yake, anapokuwa hayupo, h…

Maelezo ya hadith: Dua ya mtu muislamu kwa ndugu yake, anapokuwa hayupo, h…

Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa dua ya muislamu kwa ndugu yake muislamu, anapokuwa hayupo anayeombewa dua, hujibiwa; kwa sababu huwa na kiwango kikubwa cha utakasifu (Ikhlaswi) na kwamba kichwani kwa muombaji huwa kuna Malaika aliwakilishwa, kila anapomuombea ndugu yake kwa heri, basi anasema Malaika alipewa kazi hiyo: Mwenyezi Mungu apokee dua, na upate pia mfano wa hayo uliyoomba.

Mafunzo: Dua ya mtu muislamu kwa ndugu yake, anapokuwa hayupo, h…

Makundi : Mambo yaliyo bora. · Fadhila za Dua. · Akida- Itikadi- · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Kuamini Malaika

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
لا حول ولا قوة إلا بالله Pas de force ni de puissance sauf en Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56