Dinari bora anayoitoa mtu: ni Dinari anayoitoa kwa familia yake, na dinari anayoitoa mtu k…
Islam > Sw > Hadith > Mambo yaliyo bora > Dinari bora anayoitoa mtu: ni Dinari anayoitoa kwa familia yake, na dinari anayoitoa mtu k…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Dinari bora anayoitoa mtu: ni Dinari anayoitoa kwa fami…
Maelezo ya hadith: Dinari bora anayoitoa mtu: ni Dinari anayoitoa kwa fami…
Alieleza Mtume rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, aina za matumizi, na akazipanga pale panapokuwa na namna nyingi za kutoa matumizi kulingana na kile ambacho ni wajibu zaidi kwako, hivyo alianza na muhimu zaidi na kisha muhimu zaidi. Akaeleza kuwa mali yenye malipo mengi ni ile anayoitoa muislamu kwa wale anaolazimika kuwahudumia; kwanzia mkewe na watoto, kisha kutoa katika kipando kilichoandaliwa kwa ajili vita katika njia ya Mwenyezi Mungu, kisha kuwahudumia jamaa zake na rafiki zake wanapokuwa Jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu.
Mafunzo: Dinari bora anayoitoa mtu: ni Dinari anayoitoa kwa fami…
- Mpangilio wa matumizi katika ubora ni kwa namna ulivyotajwa, lizingatiwe hilo panapokuwa na majukumu mengi.
- Kumebainishwa umuhimu wa kuanza na familia katika kutoa matumizi, na ndiko kuna fadhila nyingi kuliko kutoa sehemu zingine.
- Kuhudumia Jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu ni katika kutoa kukubwa, kama kuandaa vifaa na watu kwa ajili ya Jihadi.
- Inasemekana kuwa: Makusudio ya njia ya Mwenyezi Mungu ni kila jambo la ibada, mfano kama Hija.
Makundi :
Mambo yaliyo bora.
· Ubora na fadhila za matendo mema.
· fadhila za matendo ya viungo.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله وبحمده
Gloire et louange à Allah