Haumpati muislamu uchovu wala maradhi, wala msongo, wala huzuni, wala udhia, wala shida, h…
Islam > Sw > Hadith > Mambo yaliyo bora > Haumpati muislamu uchovu wala maradhi, wala msongo, wala huzuni, wala udhia, wala shida, h…
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Haumpati muislamu uchovu wala maradhi, wala msongo, wal…
Maelezo ya hadith: Haumpati muislamu uchovu wala maradhi, wala msongo, wal…
Anabainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa yanayomsibu muislamu katika maradhi na msongo na huzuni na misukosuko na majanga na shida mbali mbali na hofu na njaa, hata kama utakuwa ni mwiba utakaomchoma na kumuumiza, hilo kwake linakuwa ni kafara ya madhambi kwake na kifuta makosa.
Mafunzo: Haumpati muislamu uchovu wala maradhi, wala msongo, wal…
- Kumebainishwa fadhila ya Mwenyezi Mungu kwa waja wake waumini na huruma yake kwao kwa kuwasamehe madhambi hata kwa madhara madogo yanayowasibu.
- Ni lazima kwa muislamu ataraji malipo kwa Allah kwa yale yanayomsibu, na asubiri kwa dogo na kubwa, ili iwe ni sababu ya kunyanyuliwa daraja na ni kafara ya makosa.
Makundi :
Mambo yaliyo bora.
· Ubora wa Tauhiid.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
سبحان الله وبحمده
Gloire et louange à Allah