Anapo kufa mwanadamu matendo yake hukatika isipokuwa mambo matatu: Sadaka yenye kuendelea,…

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Anapo kufa mwanadamu matendo yake hukatika isipokuwa mambo matatu: Sadaka yenye kuendelea,…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Anapo kufa mwanadamu matendo yake hukatika isipokuwa ma…

Maelezo ya hadith: Anapo kufa mwanadamu matendo yake hukatika isipokuwa ma…

Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa amali za maiti hukatika kwa kufa kwake, hayapatikani mema tena baada ya kifo chake isipokuwa kwa mambo haya matatu; kwa sababu yeye ndiye aliyekuwa sababu ya kupatikana kwake:

La kwanza: Sadaka yenye kuendelea thawabu zake na kudumu, isiyokatika, kama wakfu, na kujenga msikiti, na kuchimba visima, na mengineyo.

La pili: Elimu wanayonufaika nayo watu, kama kutunga vitabu vya kielimu, au kama kumfundisha mtu, yule naye akaisambaza elimu hiyo baada ya kifo chake.

La tatu: Mtoto mwema muumini wa kumuombea dua mzazi wake.

Mafunzo: Anapo kufa mwanadamu matendo yake hukatika isipokuwa ma…

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Fiq'hi - Ufahamu- wa miamala. · Majeneza. · Wakfu. · Mambo yaliyo bora. · Ubora wa Elimu. · Fadhila za Dua. · Fiq'hi na misingi yake. · Doing Good Deeds on behalf of the Deceased and Gifting them the Reward · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Merit and Significance of Knowledge

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
أستغفر الله Je demande pardon à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56