Hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake amekataza kustanji kwa kinyesi cha wanyama au m…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake amekataza kustanji kwa kinyesi cha wanyama au m…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Addar- Alqutni
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake amekataza ku…
Maelezo ya hadith: Hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake amekataza ku…
Amemkataza Mtume rehema na amani ziwe juu yake atakayekidhi haja yake sawa iwe haja ndogo au kubwa, kustanji kwa mfupa wa mnyama au kinyesi chake na mabaki yake yaliyokauka; na akasema: Hivyo haviondoshi najisi, na wala havisafishi vizuri.
Mafunzo: Hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake amekataza ku…
- Kumebainishwa baadhi ya adabu za kukidhi haja na kustanji.
- Katazo la kustanji kwa kinyesi cha wanyama; kwa sababu: Ima ni najisi, au kwa sababu ni chakula cha wanyama wa Majini.
- Katazo la kustanji kwa mfupa; kwa sababu ima ni najisi, au ni chakula cha Majini wenyewe.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Twahara - usafi-
· Fiq'hi na misingi yake.
· Adabu za Kukidhi Haja.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
اللهم صل على محمد
Ô Allah prie sur Muhammad