Islam > Sw > Hadith > Quran tukufu na elimu zake > Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akitusomesha Qur'ani katika kila hali madamu h…
Ni nzuri (Hasan)Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureAlikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiwafundisha Maswahaba zake Qur'ani na akiwasomesha yeye mwenyewe katika hali zote madam hajawa katika hali ya janaba litokanalo na tendo la ndoa kwa wakeze.
Makundi : Qur'an tukufu na Elimu zake · Pekuzi za Qur'ani kiujumla. · Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Twahara - usafi- · Hukumu za Qur'ani na Misahafu. · Adabu za Usomaji Qur'ani na Ubebaji wa Qur'ani. · Fiq'hi na misingi yake. · Kuoga.