Kila wema ni sadaka
Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Kila wema ni sadaka
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Bukhari kutokana na hadithi ya Jaabir, na amepokea Muslim kutokana na hadithi ya Hudhaifa
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Kila wema ni sadaka
عن جابر بن عبد الله رضي الله عنهما عن النبي صلى الله عليه وسلم قال: «كُلُّ مَعْرُوفٍ صَدَقَةٌ».
Maelezo ya hadith: Kila wema ni sadaka
Anaeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- yakuwa kila wema na kuwanufaisha wengine kuanzia kauli au matendo huwa ni sadaka, na kuna malipo na thawabu.
Mafunzo: Kila wema ni sadaka
- Nikuwa sadaka haishii tu katika vile anavyovitoa mtu katika mali yake, bali inajumuisha kila kheri anayoifanya mwanadamu au kuitamka na kuifikisha kwa wengine.
- Hapa kuna himizo la kutenda wema, na kila jambo lenye manufaa kwa wengine.
- Kutodharau kitu katika wema, hata kama ni kidogo.
Makundi :
Mambo yaliyo bora.
· Ubora na fadhila za matendo mema.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله وبحمده
Gloire et louange à Allah