Atakayesimulia kutoka kwangu mazungumzo ambayo yanaonekana kuwa ni uongo basi huyo ni mmoj…
Islam > Sw > Hadith > Hadithi na elimu zake > Atakayesimulia kutoka kwangu mazungumzo ambayo yanaonekana kuwa ni uongo basi huyo ni mmoj…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Imamu Muslim katika Utangulizi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakayesimulia kutoka kwangu mazungumzo ambayo yanaonek…
Maelezo ya hadith: Atakayesimulia kutoka kwangu mazungumzo ambayo yanaonek…
Anaeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa atakayenukuu Hadithi kutoka kwake hali yakuwa anajua au anadhani au dhana yake kubwa kuwa ni kumzulia uongo rehema na amani ziwe juu yake; basi mpokezi atashirikiniana na mwanzilishi wa uongo huu katika dhambi.
Mafunzo: Atakayesimulia kutoka kwangu mazungumzo ambayo yanaonek…
- Kuzichunguza hadithi zinazopokelewa kutoka kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake, na kupata uhakika wa usahihi wake kabla ya kuzipokea na kuzisimulia.
- Sifa ya uongo ataitwa kila aliyezusha uongo na kwa yule atakayeuhamisha na kuusambaza kwa watu wengine.
- Ni haramu kusimulia Hadithi ya uzushi kwa mtu anayejua kuwa ni ya kutunga, au anayedhania kuwa ni ya kutunga, isipokuwa kama ni kwa ajili ya kutahadharisha.
Makundi :
Hadithi na Elimu zake
· Fiq'hi ya Tabia.
· Tabia mbovu.
· Pekuzi za Jumla katika Sunnah.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
· Umuhimu wa sunnah na Nafasi yake.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
لا إله إلا الله
Pas de divinité sauf Allah