Hadith kuhusu Tabia mbovu.

Islam > Sw > Hadith > Tabia mbovu.

Hadith 26 za Nabii zilizoelezwa kuhusu «Tabia mbovu.»: maandishi ya Kiarabu, tafsiri, maelezo na mafunzo, na kiwango cha ukweli na vyanzo.

Mis à jour le 26 octobre 2026

Orodha ya hadith kuhusu Tabia mbovu.

Sahihi Pindi atakapaowakusanya Mwenyezi Mungu wa mwanzo na wa mwisho siku ya Kiyama itanyanyuliwa bendera kwa kila haini, patasemwa: Hii ndio hiana ya fulani Sahihi Hivi nikuelezeni madhambi makubwa? Sahihi Hakika hao wawili wanaadhibiwa, na hawaadhibiwi kwa makosa makubwa, ama mmoja wao alikuwa hajistiri na mkojo, na ama mwingine alikuwa akitembea kwa ku Sahihi Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza Sahihi Hakika mimi ninajua neno ambalo lau kama angelisema yangemuondokea anayaoyapata (katika hasira), lau angesema: Audhubillaahi minash-shaitwani, -Najili Sahihi Hakika umesema neno ambalo lau lingechanganywa na maji ya Bahari basi (lingeyabadili rangi) kwa kuchanganyika nayo Sahihi Lau mwanadamu angelikuwa na mabonde mawili ya mali basi angelitafuta la tatu Sahihi Tahadharini na dhana; kwani dhana ni mazungumzo ya uongo mno Sahihi Kumtukana Muislamu ni ufasiki (kutoka nje ya mipaka), na kupigana naye ni ukafiri Sahihi Haingii peponi mfitinishaji Sahihi Hakika mtu anayechukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni mgomvi mkorofi Sahihi Hakika watoa laana hawatokuwa mashahidi wala watetezi siku ya Kiyama Sahihi Ogopeni dhulma, kwa hakika dhulma ni giza siku ya kiyama. Na ogopeni tamaa, kwa hakika tamaa iliwaangamiza walio kuwepo kabla yenu Sahihi Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi Sahihi Atakayejifunza elimu katika yale yanayo ambayo hutafutwa radhi za Mwenyezi Mungu Mtukufu, hajifunzi isipokuwa kwa ajili ya kupata masilahi ya kidunia, Sahihi Je mnajua ni nani aliyefilisika? Sahihi Yeyote atakayenisingizia mimi uongo kwa makusudi basi ajiandalie makazi yake kuwa ni motoni Amesema Imamu Nawawi: Hadithi hii ni hasan Katika uzuri wa uislamu wa mtu: Ni kuacha kwake yale yasiyomuhusu Sahihi Achaneni (na ubaguzi) kwani una nuka Sahihi Msimlaani, Wallahi, namuapa Mwenyezi Mungu sikujua lolote kwake isipokuwa anampenda Mwenyezi Mungu na Mtume wake Sahihi Atakayesimulia kutoka kwangu mazungumzo ambayo yanaonekana kuwa ni uongo basi huyo ni mmoja kati ya waongo Sahihi Hakika shetani alishakata tamaa kuabudiwa na wenye kuswali katika kisiwa cha Arab, Lakini yuko katika kuwachochea baina yao Sahihi Hakika Mwenyezi Mungu huwaadhibu wale wanaowaadhibu watu duniani Sahihi Asiangalie mwanaume katika uchi wa mwanaume mwenzie, wala mwanamke kutazama uchi wa mwanamke mwenzie Sahihi Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza kunyoa kiduku Sahihi Tulikuwa kwa Omari akasema: "Tumekatazwa kujilazimisha
بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله Gloire à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56