Katika uzuri wa uislamu wa mtu: Ni kuacha kwake yale yasiyomuhusu

Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Katika uzuri wa uislamu wa mtu: Ni kuacha kwake yale yasiyomuhusu

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa naTirmidhiy na wengineo

Amesema Imamu Nawawi: Hadithi hii ni hasan

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Katika uzuri wa uislamu wa mtu: Ni kuacha kwake yale ya…

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: «مِنْ حُسْنِ إِسْلَامِ المَرْءِ تَرْكُهُ مَا لَا يَعْنِيهِ».

Maelezo ya hadith: Katika uzuri wa uislamu wa mtu: Ni kuacha kwake yale ya…

Amebainisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake: Ya kuwa miongoni mwa mazuri ya ukamilifu wa Uislamu wa Muislamu na ukamilifu wa imani yake, ni kujiweka kwake mbali na yale yasiyomuhusu na yale yasiyo na faida kwake miongoni mwa kauli na matendo, au katika yale yasiyomuhusu miongoni mwa mambo ya dini na dunia, mtu kushughulika na yale yasiyomuhusu huenda likamshughulisha akaacha yale yanayomuhusu, au likampelekea katika yale yanayomlazimu kuyaepuka; kwani mwanadamu ataulizwa kuhusu matendo yake siku ya Kiyama.

Mafunzo: Katika uzuri wa uislamu wa mtu: Ni kuacha kwake yale ya…

Makundi : Fiq'hi ya Tabia. · Tabia mbovu. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله Gloire à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56