Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza kunyoa kiduku

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi na misingi yake > Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza kunyoa kiduku

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza…

عن ابن عمر رضي الله عنهما: أَنَّ رَسُولَ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ نَهَى عَنِ الْقَزَعِ.

Maelezo ya hadith: Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza…

Amekataza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kunyoa baadhi ya nywele za kichwa na kuacha baadhi.

Na katazo linawahusu watu wote, mwanaume mtoto mdogo na mkubwa pia, ama mwanamke hatakiwi kunyoa nywele za kichwa chake.

Mafunzo: Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza…

Makundi : Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia. · Hukumu za mwenye kuzaliwa- mchanga · Fiq'hi ya Tabia. · Tabia mbovu. · Fiq'hi na misingi yake. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله Gloire à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56