Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Yanamfuata maiti mambo matatu: familia yake na mali yake na matendo yake, vinarudi vitu vi…
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureعن أنس رضي الله عنه مرفوعاً: «يَتْبَعُ الميتَ ثلاثةٌ: أهْلُه ومَالُه وعَمَلُه، فيرجع اثنان ويَبْقى واحد: يرجع أهْلُه ومَالُه، ويبقى عَمَلُه».
Maana ya hadithi: anapokufa mwanadamu wanamfuata wenye kumsindikiza, wanamfuata watu wake wanamsindikiza mpaka kaburini kwake, na zinamfuata mali zake: yaani watumwa wake na wafanyakazi wake na mamluki (anao wamiliki) wake, na yanamfuata pamoja naye matendo yake, vinarudi viwili, na yanabakia matendo yake, ikiwa kama ni ya kheri basi itakuwa kheri na ikiwa ni ya shari pia itakuwa shari.
Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Kuyasema vibaya mapenzi ya kuipenda dunia. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.