Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ya tabia > Hakuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake na maneno machafu wala mwenye kujilazimisha mac…
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureAliulizwa mama wa waumini Aisha radhi za Allah ziwe juu yake kuhusu tabia za Mtume rehema na amani ziwe juu yake akasema: Haikuwa katika tabia zake uchafu na ubaya wa kauli na vitendo, na wala hakuwa akijilazimisha machafu wala kuyakusudia, wala hakuwa mpiga kelele kwa kunyanyua sauti yake masokoni, na wala alikuwa halipi ubaya kwa ubaya; lakini alikuwa akilipa ubaya kwa wema, na akisamehe ndani ya moyo, na akifuta kosa na kulipuuza katika dhahiri.
Makundi : Fiq'hi ya Tabia. · Tabia njema. · Historia ya Mtume. · Mambo ya Mtume. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Sifa za kitabia. · Usamehevu wake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake: · Historia na Taarekh.