Yanamfuata maiti mambo matatu: familia yake na mali yake na matendo yake, vinarudi vitu vi…

Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Yanamfuata maiti mambo matatu: familia yake na mali yake na matendo yake, vinarudi vitu vi…

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Yanamfuata maiti mambo matatu: familia yake na mali yak…

عن أنس رضي الله عنه مرفوعاً: «يَتْبَعُ الميتَ ثلاثةٌ: أهْلُه ومَالُه وعَمَلُه، فيرجع اثنان ويَبْقى واحد: يرجع أهْلُه ومَالُه، ويبقى عَمَلُه».

Maelezo ya hadith: Yanamfuata maiti mambo matatu: familia yake na mali yak…

Maana ya hadithi: anapokufa mwanadamu wanamfuata wenye kumsindikiza, wanamfuata watu wake wanamsindikiza mpaka kaburini kwake, na zinamfuata mali zake: yaani watumwa wake na wafanyakazi wake na mamluki (anao wamiliki) wake, na yanamfuata pamoja naye matendo yake, vinarudi viwili, na yanabakia matendo yake, ikiwa kama ni ya kheri basi itakuwa kheri na ikiwa ni ya shari pia itakuwa shari.

Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Kuyasema vibaya mapenzi ya kuipenda dunia. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
لا إله إلا الله Pas de divinité sauf Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56