Lau mwanadamu angelikuwa na mabonde mawili ya mali basi angelitafuta la tatu
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ya tabia > Lau mwanadamu angelikuwa na mabonde mawili ya mali basi angelitafuta la tatu
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Lau mwanadamu angelikuwa na mabonde mawili ya mali basi…
Maelezo ya hadith: Lau mwanadamu angelikuwa na mabonde mawili ya mali basi…
Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kwamba lau kama mwanadamu angelipata bonde moja lililojaa dhahabu, basi angependa kwa sababu ya tamaa yake ambayo ndiyo maumbile yake awe na mabonde mengine mawili, na kwamba mwanadamu haachi kuipupia dunia mpaka anakufa na lijae tumbo lake kwa udongo wa kaburi lake.
Mafunzo: Lau mwanadamu angelikuwa na mabonde mawili ya mali basi…
- Pupa kubwa ya mwanadamu ya kukusanya mali na vinginevyo katika starehe za Dunia.
- Amesema Nawawi: Hapa kumekemewa pupa ya kuipupia Dunia na kupenda wingi wa mali na kuwa na tamaa.
- Mwenyezi Mungu anaikubali toba ya mwenye kutubia kutokana na sifa mbaya.
- Amesema Nawawi: Hadithi imekuja katika mfumo wa kueleza hali ya wanadamu wengi katika kuipupia Dunia, na inaungwa mkono na kauli yake rehema na amani ziwe juu yake: "Na Mwenyezi Mungu humsamehe mwenye kuomba msamaha".
Makundi :
Fiq'hi ya Tabia.
· Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha
· Tabia mbovu.
· Kuyasema vibaya mapenzi ya kuipenda dunia.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
لا إله إلا الله
Pas de divinité sauf Allah