Na hakika Mwenyezi Mungu ameniteremshia wahyi kuwa, kuweni wanyenyevu, mpaka asijikweze ye…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ya tabia > Na hakika Mwenyezi Mungu ameniteremshia wahyi kuwa, kuweni wanyenyevu, mpaka asijikweze ye…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Na hakika Mwenyezi Mungu ameniteremshia wahyi kuwa, kuw…
Maelezo ya hadith: Na hakika Mwenyezi Mungu ameniteremshia wahyi kuwa, kuw…
Alisema Mtume rehema na amani ziwe juu yake kwa Maswahaba zake wakati akihutubia, na ikawa miongoni mwa yale aliyosema ni: Hakika Mwenyezi Mungu amemteremshia wahyi ya kwamba ni wajibu kwa watu wanyenyekeane wao kwa wao, na hii ni kwa kushusha mbawa (kujishusha) kwa viumbe na kuwa wapole, mpaka asijikweze kwa kudai ukubwa na kiburi na utukufu yeyote kwa ukoo wake au mali yake au kinginecho juu ya yeyote, na wala asidhulumu na asifanye uadui yeyote kwa mwenzake.
Mafunzo: Na hakika Mwenyezi Mungu ameniteremshia wahyi kuwa, kuw…
- Katika hadithi kuna himizo la kuwa wanyenyekevu na kutokuwa na kiburi na kujikweza juu ya watu.
- Katazo la uadui na ufahari.
- Kujinyenyekeza kwa ajili ya Mwenyezi Mungu kuna maana mbili: Maana ya kwanza: Ni mtu unyenyekee kwa ajili ya dini ya Mwenyezi Mungu, usijikweze katika dini, na wala usiwe na kiburi, na kutekeleza hukumu zake. Na ya pili: Ni unyenyekee kwa waja wa Mwenyezi Mungu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, si kwa sababu ya kuwaogopa, na wala si kwa kutaraji walivyonavyo, lakini ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu Aliyetakasika na kutukuka.
Makundi :
Fiq'hi ya Tabia.
· Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha
· Tabia njema.
· Matendo ya moyoni.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
أستغفر الله
Je demande pardon à Allah