Atakapompenda mtu ndugu yake basi na amueleze kuwa anampenda
Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Atakapompenda mtu ndugu yake basi na amueleze kuwa anampenda
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ahmad
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakapompenda mtu ndugu yake basi na amueleze kuwa anam…
عن المِقدام بن معدي كرب رضي الله عنه عن النبي صلى الله عليه وسلم قال: «إِذَا أَحَبَّ الرَّجُلُ أَخَاهُ فَلْيُخْبِرْهُ أَنَّهُ يُحِبُّهُ».
Maelezo ya hadith: Atakapompenda mtu ndugu yake basi na amueleze kuwa anam…
Anabainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- moja ya sababu ambazo hutia nguvu mahusiano kati ya waumini na hueneza mapenzi baina yao, nako ni kuwa mtu atakapompenda ndugu yake basi na amueleze kuwa anampenda.
Mafunzo: Atakapompenda mtu ndugu yake basi na amueleze kuwa anam…
- Ubora wa mapenzi ya dhati yanayokuwa kwa ajili ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, si kwa ajili ya masilahi ya kidunia.
- Inapendeza na ni sunna kumueleza anayependwa kwa ajili ya Allah, ili kuongeza mapenzi na kuzoeana.
- Kuenea kwa mapenzi baina ya waumini hutia nguvu udugu wa kiimani na huhifadhi jamii kuto pasuka na kufarakana.
Makundi :
Fiq'hi ya Tabia.
· Adabu za kisheria.
· Tabia njema.
· Adabu za mazungumzo na kunyamaza.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله وبحمده
Gloire et louange à Allah