Hakika kwako wewe kuna mambo mawili anayapenda sana Mwenyezi Mungu: Upole, na utaratibu
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ya tabia > Hakika kwako wewe kuna mambo mawili anayapenda sana Mwenyezi Mungu: Upole, na utaratibu
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hakika kwako wewe kuna mambo mawili anayapenda sana Mwe…
Maelezo ya hadith: Hakika kwako wewe kuna mambo mawili anayapenda sana Mwe…
Alisema Mtume rehema na amani ziwe juu yake kumwambia Mundhiri bin Aidhi, Ashajji ni kabila la Abdil-Kaisi na yeye ndiye alikuwa mtemi wao radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake: Hakika kwako kuna sifa mbili anazipenda mno Mwenyezi Mungu, nazo ni: Akili, kuhakiki mambo, na utulivu, na kutokuwa na pupa.
Mafunzo: Hakika kwako wewe kuna mambo mawili anayapenda sana Mwe…
- Himizo la kujipamba na upole utulivu.
- Himizo la kuhakiki mambo na kutazama mwisho wake.
- Upole na utaratibu ni miongoni mwa sifa nzuri.
- Mwenyezi Mungu Mtukufu humsifia mtu kwa sifa alizomuumba nazo miongoni mwa tabia njema.
- Ashajju: Ni mtu aliyejeruhiwa usoni, au kichwani, au katika paji la uso.
Makundi :
Fiq'hi ya Tabia.
· Tabia njema.
· Akida- Itikadi-
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
· Kumuamini Allah mwenye nguvu aliye tukuka
· Kumpwekesha Mwenyezi Mungu katika majina yake na sifa zake.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الله أكبر
Allah est le plus grand