Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Haingii peponi mfitinishaji
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureعن حذيفة رضي الله عنه قال: سمعت النبي صلى الله عليه وسلم يقول: «لَا يَدْخُلُ الْجَنَّةَ قَتَّاتٌ».
Anaeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa mmbea anayehamisha maneno kati ya watu kwa lengo la kuwavuruga kati yao yakuwa anastahiki adhabu kwa kutoingia peponi.
Makundi : Fiq'hi ya Tabia. · Tabia mbovu. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.